Bango la hifadhi ya taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe
Maua adimu duniani ambayo yanapatikana katika hifadhi ya taifa ya Kitulo
Maporomoko ya maji yaliyopo katika mto Kimani kata ya Mfumbi wilayani Makete
watalii wakifurahia kuwepo kwenye maporomoko ya mto kimani wilayani Makete
Pango ambalo limegundulika ndani ya hifadhi ya taifa ya Kitulo, pango hilo linaaminika lilitumia na mababu kipindi cha ukoloni
Maporomoko yaliyopo Ipelele wilayani Makete. Maporomoko haya yanadhaniwa kuwa ni makubwa kuliko yote Makete
Shamba la mifugo lililopo Kitulo Makete
Hivi ni baadhi tu ya vivutio vya kitalii vilivyopo Makete, fika Makete muda wowote ufurahie na ujifunze mengi
Post a Comment