PICHA MUHIMU

  Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi chuo cha VETA wilaya ya Makete ambacho ni chuo cha kwanza kujengwa na kukamilika ngazi ya wilaya kati ya wilaya zote Tanzania 19.10.2013
Redio Kitulo FM ambayo inamilikiwa na halmashauri ya wilaya ya Makete. Hii ni redio ya jamii ambayo inasikika kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa Makete na maeneo jirani
Maandalizi ya ujenzi wa barabara ya lami Makete mjini

Post a Comment

 

Copyright © 2013. MAKETE BLOG - All Rights Reserved
Designed by Edwin Moshi
Property of Makete District Council