MTENDAJI WA KIJIJI CHA MLONDWE MAKETE ALAMBA FEDHA ZA SERIKALI NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA
Tuesday, November 05, 20130
comments
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE IDDI NGANYA
Mtendaji
wa kijiji cha mlondwe ametoweka katika eneo lake la kazi baada ya
kukiri kutumia vibaya mchango wa wananchi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu
mbela na kisaula
Mtendeji huyo Bw.omari mkwama ambaye anadaiwa
kukiri kurudisha kiasi cha shiringi laki sita na elfu arobaini na sita
za mchango huo ambazo aliahidi kurudisha tarehe 08/10 mwaka huu ,hali
hiyo imebainishwa na diwani wa kata hiyo wakati wa uwasilishaji wa
taarifa ya utekelezaji wamaendeleo katika kata yake
Naye
mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya makete bw.idd nganya amekiri kupokea
kwa taarifa ya mtendaji huyo na kwamba hatua zitachukuliwa na kuongeza
kuwa serikali ya kijiji na kata inatakiwa kushitaki mahakamani kwa
matumizi mabaya ya fedha za wananchi.
Post a Comment