Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali
wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo
Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba
Jaji Joseph Sinde Warionba akiongea machache wakati wa shughuli za kuaga
mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya
Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba
Mhe Angela Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia
wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo
Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Misa wakati wa shughuli hiyo
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho mbele ya
jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli
ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam,leo. Picha na OMR
Post a Comment