Gwaride la mgambo likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka.
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akikagua gwaride la wanamgambo wa kata ya Kitulo
Mshauri
wa mgambo wilaya ya Makete afisa mteule daraja la pili Anthony Mfuse
akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rasmi kuhusu mafunzo hayo
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine
Matiro akisikiliza kwa makini risala ya wahitimu wa mafunzo ya mgambo
kata ya Kitulo iliyosomwa na Festo Ngongo
Mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro akigawa kitambulisho kwa mmoja ya mgambo aliyehitimu mafunzo yake jana
Mkuu
wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akihutubia mamia ya wananchi
waliofika kwenye ufungaji wa mafunzo ya mgambo kaya ya kitulo
Picha ya pamoja na mgeni rasmi.Picha zote na Edwin Moshi
Post a Comment