Mgambo wakipita mbele ya mgeni rasmi
Mgambo Sanga akisoma risala yao
Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro akitoa hotuba yake ya kufunga mafunzo ya mgambo kata ya Lupila Makete
Mkuu wa wilaya akimkabidhi kitambulisho chake mhitimu wa mafunzo ya mgambo
Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja
Picha zote na Edwin Moshi
Post a Comment