Katibu
mkuu wa CCM Ndg Kinana akisalimiana na wafanyakazi wa chuo cha ufundi
stadi VETA Makete wakati alipotembelea chuo hicho mapema leo jioni
Katibu
wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt. Asharose Migiro (wa pili
kulia) akicheza muziki wa kuifagilia CCM wakati alipotembelea chuo cha
VETA Makete, kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro
naye akicheza muziki
Mkurugenzi
wa VETA kanda ya nyanda za juu kusini Monica Mbele akisoma taarifa ya
chuo cha VETA Makete kwa katibu mkuu wa CCM ndg Abdulrahman Kinana
Mkurugenzi Monica akikabidhi taarifa ya chuo cha veta Makete kwa Ndugu Kinana
Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye akitumia cherehani katika darasa la ushonaji chuo cha VETA Makete
Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwenye darasa la ushonaji VETA Makete
Hapa Kinana kapewa shati, analijaribu
Ndg Kinana akipanda mti VETA Makete
Katibu
NEC siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt. Asharose Migiro akiwa na mkuu
wa wilaya ya Makete Josephine Matiro wakila pozi lao kwenye chuo cha
VETA Makete
picha ya pamoja.(Picha zote na Edwin Moshi)
Post a Comment