Katibu
mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana(kulia) akisalimiana na Bw. Titho Tweve
ambaye analeta saruji ya kuendelea na ujenzi wa majengo ya shule ya
sekondari ya wasichana Ukwama, wa kwanza kushoto ni katibu NEC itikadi
na uenezi Nape Nnauye akifuatiwa na katibu wa NEC siasa na mahusiano ya
kimataifa Dkt. Asharose Migiro
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (katikati) akitoa maelezo kwa katibu mkuu wa CCM kuhusu ujenzi wa shule hiyo
Katibu
mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza mara baada ya kupata taarifa
ya ujenzi huo, ambapo ameahidi kuwa chama cha mapinduzi kitatoa mabati
200 kwa ajili ya shule hiyo
Moja ya darasa la shule hiyo likiwa limekamilika kwa ujenzi
Msafara
wa katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ukiondoka kwenye shule ya
sekondari ya wasichana Ukwama, tayari kuelekea wilaya ya Wanging'ombe
kwa ajili ya shughuli nyingine za kichama.Picha zote na Edwin Moshi
Post a Comment