Gari lililombeba katibu wa CCM Abdulrahan Kinana likiwasili kijiji cha Mfumbi wilayani Makete, Njombe akitokea mkoani Mbeya
Katibu wa CCM Ndugu Kinana akisalimiana
na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika eneo la
Mapokezi kata ya Mfumbi wilayani Makete
Mkuu
wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro(kulia) akisalimiana na katibu
wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa na mbunge mteule Dkt. Asharose
Migiro wakati viongozi hao walipotembelea kikazi wilaya ya Makete mkoani
Njombe hii leo, nyuma ni Katibu NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye
Katibu mkuu wa CCM Ndg Kinana akivishwa skafu mara baada ya kupokelewa wilayani Makete
Sehemu
ya umati wa watu waliofurika kumpokea Katibu mkuu wa CCM ndg Kinana na
ujumbe wake katika kata ya Mfumbi wilaya ya Makete
Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt Asharose Migiro akizungumza na wakazi wa Makete waliofika kumpokea
Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye akimwaga maneno matamu kwa wanamakete waliofika Mfumbi kumpokea
Katibu
mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akitoa pongezi zake kwa mapokezi
mazuri aliyoyapata hii leo mara baada ya kuingia ardhi hii ya Makete
Picha zote na Edwin Moshi
Post a Comment